MWAJILIWA NI MTUMWA WA PESA! JE NINI CHA KUFANYA KUONGEZA KIPATO CHAKO? Ndg zangu ukitaka kuongeza kipato chako kila mwezi lazima utambue kwa thamani ya muda wako katika kuitafuta pesa. Ukisha tambua hilo kama unajipatia pesa ambayo haikidhi mahitaji yako mpendwa hakikisha kuwa una ongeza muda wako wa kuitafuta pesa kutoka katika muda wa kawaida unao tumia kuitafuta hiyo pesa ndogo! KWA NINI MWAJIRIWA NI MTUMWA WA PESA? Mwalimu julius K Nyerere alisema hivi hakuna UMASIKINI MKUBWA KAMA UMASIKINI WA KUFIKILI. Ndivyo wasomi wengi na waajiliwa wengi wanaangamia kwa kutokuwa na uwezo wa kufikili na kubuni miradi mbali mbali na hatimaye kuishia kupata PESA ZA DHULUMA,WIZI NA RUSHWA. ONGEA NA WASOMI NA WAAJILIWA WENGI WAMEKATA TAMAA NA MAISHA NA HAWANA MATUMAINI KIMAISHA. JE MFANYAKAZI ANALIPWA PESA GANI? Wafanyakazi wote hujipatia aina ya kipato kinaitwa RECIPROCAL INCOME. Hiki ni kipato ambacho unajipatia pale tu unapofanya KAZI kwa muda fulani. Kama usipofanya kazi hii pesa haingii k...